mandingo6262
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 424
- 81
Habari zenu wadau wa jamvi hili,
naomba kupatiwa ushauri kwa wadau wenzangu maana huenda sina uelewa wa kutosha juu ya hili. Kuna dada alitumia dawa za albendazole mg 200/kila kidonge na alimeza vidonge vitatu. Wakati huohuo alikuwa anatafuta mtoto na ndo ilikuwa katika siku ambazo yai lake linakuwa limekwiva nikimaanisha siku ya kumi na nne toka kuanza mzunguko wake.
Ninapenda kufahamu kama dawa hizo zinaweza sababisha asipate mimba, na je kama atakuwa kashika mimba,,,dawa hizo haziwezi kuleta madhara kwa kiumbe kilichopo tumboni?