MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #21
Umemaliza kila Kitu Ndugu ila nashangaa bado kuna Majuha wanamsifia aliyetoka Sare Mechi zake 5 na Kupoteza Alama takribani 10 muhimu tu.Bora ufungwe kuliko kutoa sare
Kwahiyo Prisons walinunua waamuzi ndiyo maana mlipigwa? Mikia maji ya shingoUto bila kununua waamuzi ni kama mbao fc tu.
Najua kuna mtu anakamatwa si muda mrefu kwa michezo ya kuhonga waamuzi.Uto mtatafutana waamuzi wakiwaacha
Kwani shida yenu nn? Unbeaten ya arsenal,Azam na Simba hamkutoa sare? Mbona mpaka leo mnajisifia hamkufungwa? Kubalini tu nyie mlishatolewa bikra faida au hasara za sare haziwahusu pambaneni na nyieUmemaliza kila Kitu Ndugu ila nashangaa bado kuna Majuha wanamsifia aliyetoka Sare Mechi zake 5 na Kupoteza Alama takribani 10 muhimu tu.
Sir Alex Ferguson alishawahi kusema Bora kufungwa mechi moja kuliko kutoa sare mechi 2...kwa maana kufululiza sare mda mwingine ni tatizoKulwa FC katoka Sare tano na Dotto FC Kapoteza Mechi mbili tu je, Kiuchambuzi / Kimpira tu nani kati yao hawa Mapacha ndiyo ameharibu sana?
Alikuwa na Akili sana kama kweli aliyasema ( aliyatamka ) maneno haya Ndugu. Sare za Yanga SC zinaweza Kuwagharimu Ubingwa Ligi ikimalizika.Sir Alex Ferguson alishawahi kusema Bora kufungwa mechi moja kuliko kutoa sare mechi 2...kwa maana kufululiza sare mda mwingine ni tatizo
Kama kumbukumbu zangu zipo sahihi Kuna timu Scotland ilomaliza ligi bila kufungwa lakini haikuwa bingwaAlikuwa na Akili sana kama kweli aliyasema ( aliyatamka ) maneno haya Ndugu. Sare za Yanga SC zinaweza Kuwagharimu Ubingwa Ligi ikimalizika.
Haikuwa Yanga SC ya Scotland hiyo Ndugu?Kama kumbukumbu zangu zipo sahihi Kuna timu Scotland ilomaliza ligi bila kufungwa lakini haikuwa bingwa
Kimahesabu ni yanga kapoteza point sawa sawa na Simba hadi sasa. Japo yanga hajapoteza game.😀Sir Alex Ferguson alishawahi kusema Bora kufungwa mechi moja kuliko kutoa sare mechi 2...kwa maana kufululiza sare mda mwingine ni tatizo
Hahahaha..yanga atafungwa tuu maana wanasajiri vizuri mechi ya mzunguko wa pili dhidi a Simba watafunguka ili kuwafurahisha mashabiki yao kwamba wamesajiri vizuri shida ndio itakapoanzia hapoHaikuwa Yanga SC ya Scotland hiyo Ndugu?
Angalieni uwiano wa mechi na mkumbuke simba ajacheza na Namungo ambae ayuko kwenye hari mzuri kwenye msimamo wa ligi awez kukubari kupoteza kirahis na Azam pia ana kocha mpya anataka aiweke timu kwenye ushindani kwaio izoh mechi zoote cyo rahisi kama wanavyodhani mashabiki wengi wa simbaKimahesabu ni yanga kapoteza point sawa sawa na Simba hadi sasa. Japo yanga hajapoteza game.[emoji3]
Tunajua mechi Ni ngumu ila ile hali tukishinda tunakua juu inatupa nguvu ya kupambana tofaut na mwanzoAngalieni uwiano wa mechi na mkumbuke simba ajacheza na Namungo ambae ayuko kwenye hari mzuri kwenye msimamo wa ligi awez kukubari kupoteza kirahis na Azam pia ana kocha mpya anataka aiweke timu kwenye ushindani kwaio izoh mechi zoote cyo rahisi kama wanavyodhani mashabiki wengi wa simbaView attachment 1665726
Mijitu ya utopolo kwel SHIDA. Hata kuandika tu taabuSimba bado ana mwchi mkononi haijajulikana Kama hizo mechi atashunda, atasuluhu ama atafungwa. Na pia ligi bado ndio kwanza mzunguko wa pili umeanza. Ila kimahesabu ukitoa sare moja ni sawa na kupoteza point mbili na ukifungwa unapoteza point tatu. Ili kumzidi mwenzio unatakiwa kushinda michezo mingi zaidi kuliko sare ama kufungwa.
Yanga soonKama kumbukumbu zangu zipo sahihi Kuna timu Scotland ilomaliza ligi bila kufungwa lakini haikuwa bingwa
Wewe nawe ni juha tu, unataka kutuaminisha kwamba Mnyero fc wamefungwa mechi mbili tu na hawana sare hata moja, muongo mkubwa wewe. Wakati mwingine hebu tujadili mambo kwa uhalisia siyo kimhemuko Kama wewe. Mnyero fc kafungwa mechi 2, pia kashona sare 2, na kwa kuwa ligi bado inaendelea tusiwe watabiri wa matokeo, maana humu ndani naona Tambi Tambi a.k.a sheikh yahya mmejaa sana. Habari ndiyo hiyo.Umemaliza kila Kitu Ndugu ila nashangaa bado kuna Majuha wanamsifia aliyetoka Sare Mechi zake 5 na Kupoteza Alama takribani 10 muhimu tu.
Kinacho ipa timu ubingwa ni wingi wa pointi sio timu kutoa sare. Muwe mnatumia ubongo kufikiria. Timu inayodraw inadondosha points vilevile timu ikifungwa inadondosha points. Kwahiyo maana hiyo mwisho wa msimu timu yenye pointi nyingi ndo itakuwa bingwa fullstop.Alikuwa na Akili sana kama kweli aliyasema ( aliyatamka ) maneno haya Ndugu. Sare za Yanga SC zinaweza Kuwagharimu Ubingwa Ligi ikimalizika.
Mbumbumbu fc ni majuha tu. Yanashindwa kujua yana game tatu ngumu mkononi. ie DODOMA JIJI, NAMUNGO na AZAM fcWewe nawe ni juha tu, unataka kutuaminisha kwamba Mnyero fc wamefungwa mechi mbili tu na hawana sare hata moja, muongo mkubwa wewe. Wakati mwingine hebu tujadili mambo kwa uhalisia siyo kimhemuko Kama wewe. Mnyero fc kafungwa mechi 2, pia kashona sare 2, na kwa kuwa ligi bado inaendelea tusiwe watabiri wa matokeo, maana humu ndani naona Tambi Tambi a.k.a sheikh yahya mmejaa sana. Habari ndiyo hiyo.
Kwahiyo katika Mechi ya Mpira wa Miguu yule anayefungwa Michezo Miwili tu na anayetoka Sare Michezo Mitano wako sawa kabisa Kimahesabu?Kinacho ipa timu ubingwa ni wingi wa pointi sio timu kutoa sare. Muwe mnatumia ubongo kufikiria. Timu inayodraw inadondosha points vilevile timu ikifungwa inadondosha points. Kwahiyo maana hiyo mwisho wa msimu timu yenye pointi nyingi ndo itakuwa bingwa fullstop.
Mimi siyo Mshabiki wa Simba SC wala Mfuatiliaji mno wa Mpira ila kwa Tanzania hii bado sijaona Timu ya Kucheza na Simba SC labda FC Barcelona.Angalieni uwiano wa mechi na mkumbuke simba ajacheza na Namungo ambae ayuko kwenye hari mzuri kwenye msimamo wa ligi awez kukubari kupoteza kirahis na Azam pia ana kocha mpya anataka aiweke timu kwenye ushindani kwaio izoh mechi zoote cyo rahisi kama wanavyodhani mashabiki wengi wa simbaView attachment 1665726