Thabiti muhsini New Member Joined May 21, 2024 Posts 1 Reaction score 0 May 25, 2024 #1 Je, kwa wale wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2024 ambao hawajachaguliwa kwenda kujiunga na jeshi la kujenga taifa na walikuwa na uhitaji wa kwend wanasaidiwaje?
Je, kwa wale wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2024 ambao hawajachaguliwa kwenda kujiunga na jeshi la kujenga taifa na walikuwa na uhitaji wa kwend wanasaidiwaje?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 May 25, 2024 #2 Uko timamu wee? Subiri second selection.