Hizi zinzitwa danganya toto. Ni maigizo ambayo CCM wanapenda sana kuyatumia kwa sababu yanafanya kuvuta hisia za wajinga. Ni yale yale ya waziri nyumba kuzunguka mitaani kutatua matatizo ya viwanja. Au rais kwenda mitaani eti anatatua matatizoya wananchi. Kwa nini mifumo rasmi inayotakiwa kufanya hizi kazi haitumiwi?Huyu ni mkuu wa wilaya huko shinyanga, amejitoa kuhakikisha mabinti wote waliochaguliwa kuendelea na 'high school' wanawasili mashuleni. Sasa kuna baadhi hawajawasili shule walizochaguliwa. Hivyo ameamua kuwasaka nyumba kwa nyumba. Kwa madai yake anasema mabinti hao wanatarajia kuolewa hivi karibuni badala ya kuendelea na elimu. Je, maamuzi yake hayo ya kuwalazimisha mabinti hao kuacha kuolewa na kuendelea na shule ya upili yako sahihi?
Yumkini wale mabinti wamelazimishwa na baba zao kuolewa!Huyu ni mkuu wa wilaya huko Shinyanga, amejitoa kuhakikisha mabinti wote waliochaguliwa kuendelea na 'high school' wanawasili mashuleni.
Sasa kuna baadhi hawajawasili shule walizochaguliwa. Hivyo ameamua kuwasaka nyumba kwa nyumba. Kwa madai yake anasema mabinti hao wanatarajia kuolewa hivi karibuni badala ya kuendelea na elimu.
Je, maamuzi yake hayo ya kuwalazimisha mabinti hao kuacha kuolewa na kuendelea na shule ya upili yako sahihi?
Wewe mama Mtatiro hebu acheni kujipigia Promo humu!Huyu ni mkuu wa wilaya huko Shinyanga, amejitoa kuhakikisha mabinti wote waliochaguliwa kuendelea na 'high school' wanawasili mashuleni.