Je anafaa kuwa mke wangu wa ndoa?


Since ameshazaa , bwana mdogo , yupo mama ni MKE WA MTU. Stay away 4 ur sake , kama wewe ni mtu makini.

Maisha hayaishii kula Section A na B , there is more 2 it.
 

kweli tupu
uyu dada hakupend
anatafuta mfadhili wa watoto wake
hana msimamo et anakupenda ndo akupe A na B ?
ahh apana uyo hafai..she z desperate...na wewe umeonyesha unaweza kumsaisia thats y na yeye anajitaid kuonyesha anakupenda....apo akitokea mtu akamwambia ntakununulia starlet nikuoe atakubali...HANA MSIMAMO UYO na kugongwa nje ni rahisi sana
NA weew kaka kipimo cha kuonyesha km anakupenda na atatekeleza yote umwambiayo ndo KUMWAMBIA WATAKA A na B?
ao watoto wa baba mmoja au kila kichwa na dad ake?
kwa ninialiachwa na babawatoto wake?
usije ukaingia chumba cha shetan kakangu ukatoka na alama nyekundu?pole
 
Since ameshazaa , bwana mdogo , yupo mama ni MKE WA MTU. Stay away 4 ur sake , kama wewe ni mtu makini.

Maisha hayaishii kula Section A na B , there is more 2 it.
mwambie uyo
yan kiipimo ni a na b?
kaka m sor kwan una umri gan mpenz?
 

crap.
 

kuwa na watoto wawili sio ishu saaana.Cha msingi hapa ndugu yangu ni tabia na mapenzi ya kweli.
Halafu hukupaswa kutumia kigezo cha kutaka kupewa section zote A na B ili ujue kama kweli yupo tayari.
Kwa mtazamo wangu kama amekubaliana na matakwa yako ya sehem A na B ,ni dhghiri shairi hafai kuitwa wala kuwa mke kwako.
 
 
wengi wamesema kuwa fuata hisia zako lakini mimi niko tofauti kidogo haya mambo ni magumu sana kuya handle kama hauko makini maana ndoa ni kitanzi cha milele hivyo nakushauri kaa na ndug zako wakubwa kama wazazi, wajomba au mashangazi wanaweza kukupa ushauri mzuri huyo binti anaonekana anataka ndoa kama kutoa mikosi na si kwa mapenzi ya dhati nakushauri usitembee nae au la achana nae kwani kulea watoto ambao si wako ni kazi ngumu sana na inataka moyo sio rahisi kama unavyofikiria na utaumia nafsi peke yako kwani ni mzigo ulioukabali

nakushauri fikiri kwanza au lah, na hayo mambo ya side A na B naona kama unaleta masiala ktk issue ya uhusiano grow up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…