Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Mimi sijazaa lakini tumbo ni kubwa,nmetumia Mkanda mwezi mzima haujanisaidia,je naweza kufanyaje ili tumbo liishe,hapa nilipo hakuna gym
Kufunga tumbo kuna faida zake,pale tu utakapojifungua langu lilirudi kwa sababu ya kufunga hata uende gym wakati wa zoezi unatakiwa uwe umefunga kurahisisha tumbo kurudi katika shepu yake ya awali
Kweli nakubaliana na ww Mi nimefunga 4 month baada ya kujifungua lakini alijarudi kbs
Kweli nakubaliana na ww Mi nimefunga 4 month baada ya kujifungua lakini alijarudi kbs
Lina rudi mrembo Sema Mie walikua wananikazaje, na kunyonyesha Twins wakiume lazima lirudi, nilipo maliza 40 nikaanza gym , na vyakula pia nilikua nakimbia sana supu Za kutwa mara 2 sijui wali wa maji ...
My sisters...no short cuts...you want that body you are dying to have...fanya diet and hit the gym! Funga mikanda sijui kumeza midonge, hazijawahi kuwa njia za uhakika za kurudisha miili yenu iwe kabla hamjajifungu..tatizo kudeka na uvivu tu....Heidi Klum, Vicky Posh Beckham, Beyounce, Kim K and sooooo many other hot chics hawakufunga mikanda..waliingia gym na trainers wao..miezi miwili tu baada ya kuzaa wanahit runways na bikinis!
mie nilikua naona kama sipumui,wakati wa kula,halafu tumbo linawashaaaa mpaka basi,na kuna ile dawa wanachanganya asali,uwatu,pilipili manga,habasoda yani inakua mchanganyiko unakunywa asubuhi kabla ya chai na jioni,jamani inatiajoto inaniwasha mpaka viganjani wanasema inasafisha lakin kweli manake week moja unajiona mzima na maziwa yanatoka kama bomba..Hahahaha hilo la kukazwa lilinikuta ndio mana nkawa sipendi kufungwa alafu wakati wa kulala ati nsilifungue hahaha nlikua nashindwa kwa kweli
Asante kwa SoMo zuriKufunga tumbo wakati umetoka kujifungua haisaidii kurudisha tumbo hata kidogo, kwanza watu tuna maumbile tofauti wengine hata kabla ya kupata huja uzito tayari wana matumbo makubwa, akija kuzaa ndio kabisa linaongezeka na mavyakula ya uzazi wanakula sana vyakula vya wanga na mafuta kwa hiyo wanaongezeka mwili na tumbo, inabidi kufanya mazoezi ya tumbo ili akaze nyama za tumbo na madaktali wengi hawapendi mwanamke kufunga tumbo au kutumia maji moto baada ya kujifungua kwani inalemaza vijimishipa vidogo vidogo vya kwenye tumbo. Njia rahisi ya kutoa uchafu wakati umejifungua ni kunjwa vitu vya moto moto.
Kuna wanawake ambao asili yao hawana matumbo makubwa hawa hata wasipofunga tumbo wakati wamejifungua hubaki hivyo likiwa dogo, kama mimi nimezaa watoto 3 sijawahi kufunga tumbo wala kujikanda na maji moto lakini ukiniona tumbo langu kama sijawahi kuzaa pia sipendelei sana vyakula vyenye mafuta sana na vyakula vya wanga nakula kiasi, kama ni ugali nakula size ya ngumi yangu ya mkono, na chakula cha usiku saa 11 jioni ndio nakula.
Nakushauri mkeo afanye mazoezi na mtoto akiacha kunyonya ajibangie muda wa kula, sio anakula na kupanda kitandani, atanenepa ajishangae.
Well said ππ½ππ½ππ½My sisters...no short cuts...you want that body you are dying to have...fanya diet and hit the gym! Funga mikanda sijui kumeza midonge, hazijawahi kuwa njia za uhakika za kurudisha miili yenu iwe kabla hamjajifungu..tatizo kudeka na uvivu tu....Heidi Klum, Vicky Posh Beckham, Beyounce, Kim K and sooooo many other hot chics hawakufunga mikanda..waliingia gym na trainers wao..miezi miwili tu baada ya kuzaa wanahit runways na bikinis!