by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 215
Kaka nadhani ungejitahidi ufike darasa la saba ili ujijibu hili swali lako mwenyewe, manake sijui hata unachouliza ni nini? Asante na wewe
Ndo hapo sasa! Usipouliza utaambiwa huna akili na ukiuliza unaambiwa maliza shule kwanzakuuliza si ujinga kuna mwanamke anasema anayo mimba ya jamaa ,jamaa anasema yeye alifunga kizazi kwa makubaliano pamoja na mkewa wake.kwa wanawake ninaelewa wanafanyiwa opereshen mirija inafugwa au kuchomolewa kbisa kizazi.sasa kwa wanaume ndo niltaka kuelewa isije kuwa jamaa alimzuga mkewe
Kaka nadhani ungejitahidi ufike darasa la saba ili ujijibu hili swali lako mwenyewe, manake sijui hata unachouliza ni nini? Asante na wewe
Nadhani jamaa aliyekujibu sio mgwana , aulizaye ataka kujua , jibu ni kwamba hawezi kuzaa tena , kinachofanyika ni kudisconnect kwa kukata mirija, hivyo mbegu haziwezi kusafirishwa
Alitumia njia gani ya kufunga kizazi?
kuuliza si ujinga kuna mwanamke anasema anayo mimba ya jamaa ,jamaa anasema yeye alifunga kizazi kwa makubaliano pamoja na mkewa wake.kwa wanawake ninaelewa wanafanyiwa opereshen mirija inafugwa au kuchomolewa kbisa kizazi.sasa kwa wanaume ndo niltaka kuelewa isije kuwa jamaa alimzuga mkewe
Ndugu kwa hospitali zetu hizi unaweza kabisa kumpa mimba mwanamke hata kama ulifunga kizazi. nina mfano hai wa binamu yangu (mwanamke) baada ya kupata shida mimba ya mwisho na kuona ana watoto wa kumtosha aliamua kufunga kizazi wakamfanyia operation ili kumfunga. Hiyo akawa na uhakika hawezi kupata uja uzito. lakini cha kushangaza baada ya miezi sita akapata mimba. sasa hapo tukasema angekuwa mwanaume ndio amefunga angeikataa hiyo mimba lakini yeye hawezi maana ipo ndani ya tumbo lake. Hivyo kuna possibilities kubwa za kuendelea kuzaa na hii ni kutokana na utaalamu wa hospitali zetu.
anaweza kumpa nje ya ndoa ila akikutana na mkewe hawezi.....AFICAN SCIENCE