Je angela kairuki hatakuwa mbunge tena baada ya kuteuliwa kuwa mshauri wa Rais

Je angela kairuki hatakuwa mbunge tena baada ya kuteuliwa kuwa mshauri wa Rais

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri
Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu

Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza

Lucas mwashamba hv bado hajateuliwa
 
Nafikili ni vyema majina ya washauri wa Rais yasiwe yanatajwa kwa hii nchi yetu. Maana ukijua washauri wa Rais ni waimba mapambio ni wazi kama mwananchi unakosa matumaini

Kuna mzee niliona anahojiwa alikuwa katibu Mkuu kiongozi wa kwanza anasema yeye alikuwa anabishana sana na Mkapa mpaka mawaziri wakaona hana adabu.
 
Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri
Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu

Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza

Lucas mwashamba hv bado hajateuliwa
Bado anaendelea na ubunge wake.
 
Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri
Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu

Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza

Lucas mwashamba hv bado hajateuliwa
Lukuvi na kabudi nao walikuwa washauri wa Raisi… wakaendelea kuwa wabunge
 
Katiba mpya ndio suluhisho kwenye separation of powers. MTU ni mbunge, then anapewa kazi kwenye serikali kuu. How come? Anakuwa waziri kwenye serikali? Nchi ikiendelea kuwa maskini tunashangaa
 
Mshauri wa Raisi anaweza kuwa yeyote, hata bodaboda. Inategemea Raisi anahitaji ushauri gani.
 
Mshauri wa Raisi anaweza kuwa yeyote, hata bodaboda. Inategemea Raisi anahitaji ushauri gani.
Kwa maelezo haya tunahitaji katiba mpya... Sababu nikiwa Rais kama hakuna mwongozo mzuri naweza kumweka mshauri wangu wa mambo binafsi akalipwa na serikali
 
Mshauri wa Raisi anaweza kuwa yeyote, hata bodaboda. Inategemea Raisi anahitaji ushauri gani.
Ukiwa Rais afrika wewe ndio unawashauri washauri wako na bado unawalipa ,Rais wa afrika ni ngumu kupokea ushauri
 
Back
Top Bottom