dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Bado anaendelea na ubunge wake.Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri
Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu
Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza
Lucas mwashamba hv bado hajateuliwa
Lukuvi na kabudi nao walikuwa washauri wa Raisi… wakaendelea kuwa wabungeNimeona panga panga ya baraza la Mawaziri
Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu
Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza
Lucas mwashamba hv bado hajateuliwa
Nilidhani ubunge wake wa kuteuliwa utKomaLukuvi na kabudi nao walikuwa washauri wa Raisi… wakaendelea kuwa wabunge
Kwa maelezo haya tunahitaji katiba mpya... Sababu nikiwa Rais kama hakuna mwongozo mzuri naweza kumweka mshauri wangu wa mambo binafsi akalipwa na serikaliMshauri wa Raisi anaweza kuwa yeyote, hata bodaboda. Inategemea Raisi anahitaji ushauri gani.
Ukiwa Rais afrika wewe ndio unawashauri washauri wako na bado unawalipa ,Rais wa afrika ni ngumu kupokea ushauriMshauri wa Raisi anaweza kuwa yeyote, hata bodaboda. Inategemea Raisi anahitaji ushauri gani.