Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Duh !wenger alikua hata umpe pesa za usajili hataki kusajili wachezaji wa maana yeye alikua anafuata falsafa zake tu
Kwi! Kwi! Kwi!Msitufate fate Arsenal.
Yaani badala ya kumlaumu Wenger anahujumu Arsenal we unapindua?
Naamini miaka miwili ya mwisho Wenger alikua anabeti na alikua anaikataa Arsenal.Kwi! Kwi! Kwi!
Ha! Ha! Ha!Naamini miaka miwili ya mwisho Wenger alikua anabeti na alikua anaikataa Arsenal.
Tumetoka kupokea kipigo Wenger hadi akateleza barabarani basi mikeka kama 17 ikamdondoka. Askari walivyomuinua wanampa mikeka yake anagoma anadai ya Chamberlain.
Simba A.K.A Lunyasiwe ni mshabik wa tm gan
tuanzie hapo kwanza!!
You must be joking buddy!!Naamini miaka miwili ya mwisho Wenger alikua anabeti na alikua anaikataa Arsenal.
Tumetoka kupokea kipigo Wenger hadi akateleza barabarani basi mikeka kama 17 ikamdondoka. Askari walivyomuinua wanampa mikeka yake anagoma anadai ya Chamberlain.
It's true am joking.You must be joking buddy!!
Ila kuna wakati ilisemekana Mzee Wenger alikuwa ni namba wani fan wa Mashetani wekundu
Hahahahahahahhahahahahahhahah. Muacheni Babu wawatu ale pension zakeNaamini miaka miwili ya mwisho Wenger alikua anabeti na alikua anaikataa Arsenal.
Tumetoka kupokea kipigo Wenger hadi akateleza barabarani basi mikeka kama 17 ikamdondoka. Askari walivyomuinua wanampa mikeka yake anagoma anadai ya Chamberlain.
sasa mbona mikeka yake yote imechanika ?wenga tulkua tukimpa hela yeye anaenda kubeti
Duuu[emoji3] [emoji3] Unaongelea game ambayo Arsenal walichapwa bao 5 na Liverpool kisha Wenger akaenda kuanguka stesheni na mizigo yake?Naamini miaka miwili ya mwisho Wenger alikua anabeti na alikua anaikataa Arsenal.
Tumetoka kupokea kipigo Wenger hadi akateleza barabarani basi mikeka kama 17 ikamdondoka. Askari walivyomuinua wanampa mikeka yake anagoma anadai ya Chamberlain.
Hiyo hiyoDuuu[emoji3] [emoji3] Unaongelea game ambayo Arsenal walichapwa bao 5 na Liverpool kisha Wenger akaenda kuanguka stesheni na mizigo yake?