inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
we umeona kumnunua mbape ndo kutengeneza timu!!?..man wametumia shingap na msimu huu ndo wameingia top four!!?Kuuuza magalasa na kununua
Galasa la £8 kunatofaut gan hapo
Wangemunua mtu kama mbape hapo sawa ngewaelewa lacazeta ndyo
Huyo hana tofaut na mjinga giroud
Alinunua wachezaji watano baada ya kufungwa goli 8 dhidi ya Manchester unitedHivi nakumbuka kuna mwaka Wenger alimnunua Carzola Arerta Baniayoun Mertasacker na alikuwa na Van Persie Walcot Rosicks hivi awa ni wachezaji wabaya jamani
simkubali unai emery lakini arsenal haitakua ile ya kivivu na kizembe tena,usitegemee kuwafunga kirahisi arsenal..man u tangu aondoke ferguson imeingia top 4 mara moja,tazama pesa walizotumiaSera ni zilezile tu, huwezi kuisifu timu inayotumia 70mil kununua 5 players.
Free agents, 8 mil players! Kama kawaida top 4 kimeo.
hakuna timu top tier inayofanya maamuzi ya kununua mchezaji kwa msukumo wa matokeo ya mechi mojaAlinunua wachezaji watano baada ya kufungwa goli 8 dhidi ya Manchester united
Imechanikaje wakati anaiua Arsenal halafu anapanga kikosi cha kijinga matokeo yake watu tunakaa na visirani vijiweni kwetu!!..sasa mbona mikeka yake yote imechanika ?
Mara 2simkubali unai emery lakini arsenal haitakua ile ya kivivu na kizembe tena,usitegemee kuwafunga kirahisi arsenal..man u tangu aondoke ferguson imeingia top 4 mara moja,tazama pesa walizotumia
liver wasingewauzia arsenal hata wangeongeza 15m,gerald alipewa kazi ya kumshawishi suarez kwamba arsenal si timu size yake,ni bora aende barce..Tatizo ni Wenger mwenyewe. Ile hela ya Arsenal alikua anaona shida kuitoa. Nikupe mfano mmoja. Wakati Luis Suarez yuko Liverpool , mkataba wake ulikua unasema kuwa anaweza kuuzwa iwapo tu timu pinzani watatoa ofa ya zaidi ya pauni milioni 40. (40,000,000). Yaani ukiwapa Liverpool zaidi ya pauni milioni 40 wanakuachia suarez.
Mzee Wenger kwa ubahili wake akaongeza paund moja tu kudadek yaani 40m plus moja ( 40,000,001). Liverpool walimfurusha kama mbwa koko kwa kuleta dharau.