Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani pamepanuka sana mkuu?.Nimesikia kwa mashost wangu kuwa kuweka asali kwenye uke husaidia kutight . Je ni kweli?
kwani pamepanuka sana mkuu?.
Funguka vizuri haujasomeka kwa hapo!
once the rubber has reached its elastic limit, the equation is irreversible
Asali inatia joto so ikiwekwa kwa vagina inakuwa ya motomoto so inazidi utam
inakuwa tamu kama asali eti!
mi navosikia inatibu kwa wale wenye mto huko chini
inakausha kausha....sijui lakini kama ni kweli.
ila tatizo la waafrica tiba asili tunazidharau...ukipewa kidonge na mzungu cha kuweka huko unaweza ila tiba asili uamini.
hii tiba alipewa shost wangu wa kihaya na aliniambia alipona
ila sio unamwaga asali huko kuna jinsi ya kuweka so kama unaumwa kweli..ni pm nikupe no ya huyo rafiki yangu akuelekeze mi mchaga kwetu hakuna ziwa wala bahari!