JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Asasi za kiraia ni mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yanayofanya kazi kwa maslahi ya wananchi.
Kwa kiwango kikubwa asasi za kiraia zipo kwa ajili ya kukuza ustawi wa watu na maendeleo ya nchi kwa ujumla.
Wazo la asasi za kiraia lina utamaduni mrefu na ni msingi muhimu wa jamii za kisasa.
Watendaji wa Asasi za Kiraia wanahusika katika maeneo anuwai ya shida za Wananchi
Harakati nyingi za Asasi za Kiraia huamsha michakato ya majadiliano na hatimaye uundwaji wa sera za kusimamia nchi.
Upvote
1