britanicca JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 16,295 Reaction score 33,994 Jun 22, 2019 #21 hearly said: Hahaha -- kwamba una maanisha kuwa ana elements za kike ? Click to expand... Sijasema hayo, sitaki ugomvi
hearly said: Hahaha -- kwamba una maanisha kuwa ana elements za kike ? Click to expand... Sijasema hayo, sitaki ugomvi
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 45,678 Reaction score 63,304 Jun 22, 2019 #22 britanicca said: Sijasema hayo, sitaki ugomvi Click to expand... Wakubwa --wameshaelewa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 22, 2019 #23 Kumbe ndiyo wanawake mlivyo... Umbea ungetamalaki... na hivi ukiwa Rais unauwezo wa kuingilia mawasiliano ya watendaji wako... daah... ingekua hatari sana... Cc: mahondaw
Kumbe ndiyo wanawake mlivyo... Umbea ungetamalaki... na hivi ukiwa Rais unauwezo wa kuingilia mawasiliano ya watendaji wako... daah... ingekua hatari sana... Cc: mahondaw
comred JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 1,867 Reaction score 1,604 Jun 22, 2019 #24 Tanzania labda wanaume tufe wote ndio hizi ndoto wehu zitimie