Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Naomba kuuliza, kuna ndugu yangu yupo mahakamani hana uwezo wa kujieleza mbele ya mahakama, je mimi raia wa kawaida nisiye mwanasheria naweza nikamsaidia kumtetea na kumsaidia kwenye shughuli zake za kisheria? kama ni ndio hii sheria ni mpya na imeanza lini ya kumruhusu mtu wa kawaida.
Ahsanteni.
Anaweza akichukuwa legal powers toka mahakamani kama wakala wa mtuhumiwa.Naomba kuuliza,
Kuna ndugu yangu yupo mahakamani hana uwezo wa kujieleza mbele ya mahakama, je mimi raia wa kawaida nisiye mwanasheria naweza nikamsaidia kumtetea na kumsaidia kwenye shughuli zake za kisheria? Kama ni ndio hii sheria ni mpya na imeanza lini ya kumruhusu mtu wa kawaida.
Ahsanteni.
Kvp mkuu tunaomba ufafanuzi katika hili?inategemeana na hali itakavyokua hasa kwa watu kama wagonjwa mtu mwingine atasimama kuelezea uwepo wa mtu mwingine mahakaman
Fafanua kidogo hapo sijakupataAnaweza akichukuwa legal powers toka mahakamani kama wakala wa mtuhumiwa.
Au power of neuclearLabda upate power of atomy
Fafanua tatizo kwanza.Naomba kuuliza,
Kuna ndugu yangu yupo mahakamani hana uwezo wa kujieleza mbele ya mahakama, je mimi raia wa kawaida nisiye mwanasheria naweza nikamsaidia kumtetea na kumsaidia kwenye shughuli zake za kisheria? Kama ni ndio hii sheria ni mpya na imeanza lini ya kumruhusu mtu wa kawaida.
Ahsanteni.
Au power of kim jong unAu power of neuclear