Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Hakuna Askofu wa hivi huyu ni msela kama masela wengine...Mpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na kuitaka serikali ichukue hatua. Lakini hatujaona tamko rasmi la KKKT kukemea tukio hili la kishetani.
Kwa kuwa kanisa letu ni la Kiinjili ambalo msingi wake ni haki, tunaomba kusikia msimamo wako kama Mkuu wa Kanisa. Kwa kuzingatia kwamba KKKT ni Kanisa la pili kwa ukubwa nchini likiwa na waumini milioni 10.8 (kwa mujibu wa The Lutheran World Federation | The Lutheran World Federation), likitanguliwa na Kanisa Katoliki lenye waumini milioni 18, dunia inataka kusikia KKKT tunasimama wapi katikati ya uovu mkubwa namna hii.
Tunaamini kwamba ukiwa kama Mkuu wa Kanisa utatoa tamko kali la kukemea, kulaani na kutoa maelekezo ya nini kifanyike ili jambo hili baya lisijirudie tena katika nchi yetu. Sola Christus, Sola Scriptura, Sola Fide, Sola Gratia (Kristo tu, Neno tu, Imani tu, Neema tu).!
Kada wa CCM Huyu MnyakyusaMpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na kuitaka serikali ichukue hatua. Lakini hatujaona tamko rasmi la KKKT kukemea tukio hili la kishetani.
Kwa kuwa kanisa letu ni la Kiinjili ambalo msingi wake ni haki, tunaomba kusikia msimamo wako kama Mkuu wa Kanisa. Kwa kuzingatia kwamba KKKT ni Kanisa la pili kwa ukubwa nchini likiwa na waumini milioni 10.8 (kwa mujibu wa The Lutheran World Federation | The Lutheran World Federation), likitanguliwa na Kanisa Katoliki lenye waumini milioni 18, dunia inataka kusikia KKKT tunasimama wapi katikati ya uovu mkubwa namna hii.
Tunaamini kwamba ukiwa kama Mkuu wa Kanisa utatoa tamko kali la kukemea, kulaani na kutoa maelekezo ya nini kifanyike ili jambo hili baya lisijirudie tena katika nchi yetu. Sola Christus, Sola Scriptura, Sola Fide, Sola Gratia (Kristo tu, Neno tu, Imani tu, Neema tu).!
Mpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na kuitaka serikali ichukue hatua. Lakini hatujaona tamko rasmi la KKKT kukemea tukio hili la kishetani.

Huyo mjinga ni kada mtiifu wa CCM na pia ni afisa kipenyo,hata ushindi wake kuwa mkuu wa KKKT dola iliweka mkono wakeMpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na kuitaka serikali ichukue hatua. Lakini hatujaona tamko rasmi la KKKT kukemea tukio hili la kishetani.
Kwa kuwa kanisa letu ni la Kiinjili ambalo msingi wake ni haki, tunaomba kusikia msimamo wako kama Mkuu wa Kanisa. Kwa kuzingatia kwamba KKKT ni Kanisa la pili kwa ukubwa nchini likiwa na waumini milioni 10.8 (kwa mujibu wa The Lutheran World Federation | The Lutheran World Federation), likitanguliwa na Kanisa Katoliki lenye waumini milioni 18, dunia inataka kusikia KKKT tunasimama wapi katikati ya uovu mkubwa namna hii.
Tunaamini kwamba ukiwa kama Mkuu wa Kanisa utatoa tamko kali la kukemea, kulaani na kutoa maelekezo ya nini kifanyike ili jambo hili baya lisijirudie tena katika nchi yetu. Sola Christus, Sola Scriptura, Sola Fide, Sola Gratia (Kristo tu, Neno tu, Imani tu, Neema tu).!
Dola iliona iweke kada wakeHuyo mjinga ni kada mtiifu wa CCM na pia ni afisa kipenyo,hata ushindi wake kuwa mkuu wa KKKT dola iliweka mkono wake
Ndugu yake Lucas Mwashambwa ni makada wote wa CCMKada wa CCM Huyu Mnyakyusa
Sasa kama mtu alikuwa anakunywa huenda alianzisha ugomvi wakamchapa yeye sio malaika tuache jeshi litusaidie kubaini nani kahusikaHakuna Askofu wa hivi huyu ni msela kama masela wengine...
Mpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na kuitaka serikali ichukue hatua. Lakini hatujaona tamko rasmi la KKKT kukemea tukio hili la kishetani.
Kwa kuwa kanisa letu ni la Kiinjili ambalo msingi wake ni haki, tunaomba kusikia msimamo wako kama Mkuu wa Kanisa. Kwa kuzingatia kwamba KKKT ni Kanisa la pili kwa ukubwa nchini likiwa na waumini milioni 10.8 (kwa mujibu wa The Lutheran World Federation | The Lutheran World Federation), likitanguliwa na Kanisa Katoliki lenye waumini milioni 18, dunia inataka kusikia KKKT tunasimama wapi katikati ya uovu mkubwa namna hii.
Tunaamini kwamba ukiwa kama Mkuu wa Kanisa utatoa tamko kali la kukemea, kulaani na kutoa maelekezo ya nini kifanyike ili jambo hili baya lisijirudie tena katika nchi yetu. Sola Christus, Sola Scriptura, Sola Fide, Sola Gratia (Kristo tu, Neno tu, Imani tu, Neema tu).
Huyo alishapewa faranga unategemea akemee nini.Isitoshe ni kutoka kanda ile ya kuabudu pesa kuliko chochote mithili ya masai kwa ng'ombeNdugu yake Lucas Mwashambwa ni makada wote wa CCM
MumkomeMpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na kuitaka serikali ichukue hatua. Lakini hatujaona tamko rasmi la KKKT kukemea tukio hili la kishetani.
Kwa kuwa kanisa letu ni la Kiinjili ambalo msingi wake ni haki, tunaomba kusikia msimamo wako kama Mkuu wa Kanisa. Kwa kuzingatia kwamba KKKT ni Kanisa la pili kwa ukubwa nchini likiwa na waumini milioni 10.8 (kwa mujibu wa The Lutheran World Federation | The Lutheran World Federation), likitanguliwa na Kanisa Katoliki lenye waumini milioni 18, dunia inataka kusikia KKKT tunasimama wapi katikati ya uovu mkubwa namna hii.
Tunaamini kwamba ukiwa kama Mkuu wa Kanisa utatoa tamko kali la kukemea, kulaani na kutoa maelekezo ya nini kifanyike ili jambo hili baya lisijirudie tena katika nchi yetu. Sola Christus, Sola Scriptura, Sola Fide, Sola Gratia (Kristo tu, Neno tu, Imani tu, Neema tu).!
Pengine hafurahii ila Malasusa kasusaMpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na kuitaka serikali ichukue hatua. Lakini hatujaona tamko rasmi la KKKT kukemea tukio hili la kishetani.
Kwa kuwa kanisa letu ni la Kiinjili ambalo msingi wake ni haki, tunaomba kusikia msimamo wako kama Mkuu wa Kanisa. Kwa kuzingatia kwamba KKKT ni Kanisa la pili kwa ukubwa nchini likiwa na waumini milioni 10.8 (kwa mujibu wa The Lutheran World Federation | The Lutheran World Federation), likitanguliwa na Kanisa Katoliki lenye waumini milioni 18, dunia inataka kusikia KKKT tunasimama wapi katikati ya uovu mkubwa namna hii.
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Tunaamini kwamba ukiwa kama Mkuu wa Kanisa utatoa tamko kali la kukemea, kulaani na kutoa maelekezo ya nini kifanyike ili jambo hili baya lisijirudie tena katika nchi yetu. Sola Christus, Sola Scriptura, Sola Fide, Sola Gratia (Kristo tu, Neno tu, Imani tu, Neema tu).!
Hii ndio justification yenu. Imefail baada ya Askofu Pisa kuiwahi mapema 😁Sasa kama mtu alikuwa anakunywa huenda alianzisha ugomvi wakamchapa yeye sio malaika tuache jeshi litusaidie kubaini nani kahusika