abagabo
Senior Member
- Jun 4, 2014
- 155
- 168
Wakubwa, kuna mtu kampigia mwenzake na kuanza kumrekodi kwa kutumia simu. Baadae kesi imefunguliwa mahakamani. Moja ya maandalizi waliyonayo jamuhuri ni kuhusu audio hiyo. Je, audio hii yaweza kumtia hatiani mshitakiwa?, lakini je, aweza kuwapiga maswali gani ktk kudhoofisha mashitaka?