akina nape na makamba walienda kupiga magoti kisa audioWakubwa, kuna mtu kampigia mwenzake na kuanza kumrekodi kwa kutumia simu. Baadae kesi imefunguliwa mahakamani. Moja ya maandalizi waliyonayo jamuhuri ni kuhusu audio hiyo. Je, audio hii yaweza kumtia hatiani mshitakiwa?, lakini je, aweza kuwapiga maswali gani ktk kudhoofisha mashitaka?
sidhani kama ni ushahidi wa kuaminika, maana kuna watu wanaigiza sauti ya Magufuli,ya Nyerere, na za watu wengine, nadhani uho ushahidi ni rahisi kuupinga na mahakama ikayapokea mapingamizi yako,Wakubwa, kuna mtu kampigia mwenzake na kuanza kumrekodi kwa kutumia simu. Baadae kesi imefunguliwa mahakamani. Moja ya maandalizi waliyonayo jamuhuri ni kuhusu audio hiyo. Je, audio hii yaweza kumtia hatiani mshitakiwa?, lakini je, aweza kuwapiga maswali gani ktk kudhoofisha mashitaka?