Je, baada ya kufanya mapenzi bila kinga na mtu usiyemwamini(tegemea) ulikuwa na hali gani?

Je, baada ya kufanya mapenzi bila kinga na mtu usiyemwamini(tegemea) ulikuwa na hali gani?

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,385
Hakuna kitu kinaumiza kichwa kama kuuza mechi mana mawazo yanakuja mengi sana na kuogopesha haya mambo haya jamani tuyaache.


Nina msongo wa mawazo wa kutosha.
 
Ana mapele pele mwilin au makovu meusi au Macho yake ule weupe umezidi kabisa? Au sura yake kama imemvaa japo anaweka mekapu?au maeneo yanayozunguka macho yako kama amejichibua? Je anavaa wigi au ananyoa kipara??


Acheni Ujinga, hizo ni maneno tu hazihusiani na mwenye ngoma[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tujitahidi tumia kinga kama sio hivyo basi muwe mmejuana status zenu za kiafya bila hivyo starehe ya masaa tu itakukosesha raha kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom