Je baada ya kuwepo tume huru CHADEMA watakuwa na pendekezo jengine la kupigania?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
No Reform No Election ni dhamira ya fujo na Machafuko,nauliza tu ikiwa CCM ikakubali kuanzishwa tume huru je,CHADEMA itakuwa la lengine la kunadi sera zake??

Kuna nadharia tunaaminishwa lakini ukweli halisi hauendani na kinachozungumzwa.

UZITAYAri
 
tutaingia kwenye uchaguzi tumgalagaze Sa100 wenu!
 
Kwanini mnatengeneza nadharia nyingine nyingi badala ya kufanyia kazi madai ya washindani wenu kwenye uchaguzi?
 
No Reform No Election ni dhamira ya fujo na Machafuko,nauliza tu ikiwa CCM ikakubali kuanzishwa tume huru je,CHADEMA itakuwa la lengine la kunadi sera zake??

Kuna nadharia tunaaminishwa lakini ukweli halisi hauendani na kinachozungumzwa.

UZITAYAri
Utekaji na mauaji ya Watanganyika
 
Mmeuza Bandar zetu kwa wajomba zenu huko ARABUN?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…