Je, baada ya Muuaji Rasta Kato Kukamatwa Songea je, JWTZ litawaomba Radhi wale Raia 75 iliyowakamata Kawe na Kuwapiga vibaya?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Katika huu Uzi Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu Wajuvi wa Masuala Mtambuka Tanzania.
 
Hapa ndo utaona kwamba watu wengine hutumia madaraka na vyeo kuliko akili.
Kwani hata wakiwaomba msamaha,unadhani watafuta kumbukumbu ya mateso waliyoyapata?
Wangetumia akili mbona angenaswa kitambo sana! Walikosea sana,sababu watu hao,watu wao wa karibu,kamwe hawezi kuwa na imani na mwanajeshi. Na ndio maana kama jamii na vyombo vya usalama hawako pamoja,ni ngumu kufanikisha jambo fulani
 
Haya majeshi ya kiafrika ubabe kwa raia na kuvunja Sheria wanazo simamia ni kawaida yao, hilo haliwezi kutokea kamwe yani kamwe, niko pale nasubiria nione hayo maajabu ya wagalatia
 
Sema wengi wetu niwaoga, mimi niliwahi kuzinguana na mjeda mmoja bar night mida y saa 7 kisa dem, jamaa tulikua tukifaamiana fresh tu. Sasa mida ya kundoka na manta jamaa si kwa mbwembwe akaanza kunishushia kichapo. Niliamua km mbwai basi iwe dah nilimchapa km mtoto wallah then usiku huohuo tukaenda kumreport kambini nikiwa na dem. Wana ktk kizuizi Chao wakanambia mshkaj kwao Iringa wanamtegemea je ikitokea akafukuzwa ntafaidika na nn. Ilibidi wamtafute na tukayamaliza akazuga eti alikua tungi.
 
Ugomvi mwingi wa wajeda ni kisa madem

Ova
 
Kwanza ujiulize kiapo chao kilikuwa cha nini? Maana walitakiwa ndo wawe mfano wa kuigwa
Naomba unifahamishe ni jeshi gani nchini ambalo wanaishi kwa kiapo chao?
Sana sana wengine baada ya kuona wanatumwa sana kuua raia wasio na hatia cold blooded wakaamua kutaka wapewe kinga ya kutoahtakiwa kwa jinai....

Wanaamini sisi hatuna akili
 
Nachojaribu kumaanisha,ni kwamba kiapo chao, na kulinda wananchi ni sehemu ya kiapo. Sasa,wanapowatesa,maana yake nini? Mtu ni mmoja, kaua. 75 (hao ni wanaojulikana,hawajahusika lakini ndo walikiona cha moto). Na ukifikilia adhabu za wale jamaa kama wanamuadhibu adui wananchi ilikuwaje! Ilikuwa washilikiane huyo mtu apatikane na ilikuwa rahisi wangeamua
 
Ukimya wa Amiri Jeshi ni circumstantial approval ya barbaric behaviors za vikosi vyetu
 
Back
Top Bottom