Jeshi ndiyo linajenga na pia wanajenga miundombinu mingine ya michezo. Hii haikutakiwa kupelekwa Dodoma.Ni SAWA
Kama wakipewa vijana wetu wasomi kuifanya hiyo project, waka design viwanja vya golf vikawa na hadhi ya kimataifa itakuwa ni jambo la kujivunua kama Taifa.
Najua unazungumzia priority,
Kwani we kwa nini hutaki vitu vipelekwe DomJeshi ndiyo linajenga na pia wanajenga miundombinu mingine ya michezo. Hii haikutakiwa kupelekwa Dodoma.
Sema hili swala la kuwaichia jeshi pekee sio sawa, itapoteza ushiriki wa jamii kwenye michezo ya golf.Jeshi ndiyo linajenga na pia wanajenga miundombinu mingine ya michezo. Hii haikutakiwa kupelekwa Dodoma.
Kimsingi Washington DC ilianzishwa kama mji wa kiserikali na una vigezo na mambo mengine ambayo yanautofautisha na miji mingine.Ilitakiwa kwanza tufahamishwe mji wa kiserikali unakuwaje Ninavyo jua mimi hamna kitu kama mji wa kiserikali. Hata Washington DC sio mji wa kiserikali. Tatizo letu ni kuwa tunapenda mno kutanguliza buzz words. Maneno kama Geneva ya Afrika!
Amandla...
Na wewe unarudia story za utalii. Viwanja vya golf vya Kawe na Lugalo vimeleta kiasi gani cha utalii?Sema hili swala la kuwaichia jeshi pekee sio sawa, itapoteza ushiriki wa jamii kwenye michezo ya golf.
Mkuu, Dodoma mji wa serikali , kwenye swala la mipango miji ni muhimu kuwepo na sehemu za michezo ya aina mbalimabli, kwa ajili ya kuzalisha utalii,burudani etc..
Na ndio maana mwazoni nimekataa hivi viwanja kumilikiwa na jeshi, Dubai, Saudi Arabia na Nchi nyingi za Emirates Wana host michezo ya golf.Na wewe unarudia story za utalii. Viwanja vya golf vya Kawe na Lugalo vimeleta kiasi gani cha utalii?
Bado unazunguka tu. Viwanja vilivyopo mpaka sasa ambavyo vimekuwepo kwa miaka vimeingiza kiasi gani cha utalii hadi udhani kuwa hivyo vya Dodoma vitafanya hivyo?Na ndio maana mwazoni nimekataa hivi viwanja kumilikiwa na jeshi, Dubai, Saudi Arabia na Nchi nyingi za Emirates Wana host michezo ya golf.
Ni swala la Nchi ya Tanzania kuamua TU, golf, swimming, etc itatumika kuzalisha utalii na ajira
Sasa kiongozi kuuliza kwa nini hutaki hivo vitu viende Dodoma ni jambo baya hadi useme mikono imetuwasha kucomment?Naona mmekosa hoja ila mikono ilikuwa inawasha kucomment chochote.
Ukiwauliza wachumi watakwambia siku zote rasilimali zipo "limited".Sasa kiongozi kuuliza kwa nini hutaki hivo vitu viende Dodoma ni jambo baya hadi useme mikono imetuwasha kucomment?