Je, bado tunahitaji Katiba mpya, Au sera ya "Hapa ni kazi tu" yatosha?

Je, bado tunahitaji Katiba mpya, Au sera ya "Hapa ni kazi tu" yatosha?

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,097
Dalili Za Sera Ya Hapa Kazi Tu Imeonekana Kuleta Matumaini Kwa Wengi Hata Kwa Wale Waliokuwa Upande Wa Upinzani.

Sasa Kama Rais Magufuli Ataendelea Na Huu Mwanzo Alioanza Nao, Je, Kuna sababu Ya Kuendelea Kudai Katiba Mpya?

Maana Naona Tu Huku Mtaani Hata Wale Ambao Hawakumpigia Kura Magufuli Wanafurahi Kwa Mwenendo Anaoenda Nao.
 
Dalili Za Sera Ya Hapa Kazi Tu Imeonekana Kuleta Matumaini Kwa Wengi Hata Kwa Wale Waliokuwa Upande Wa Upinzani. Sasa Kama Rais Magufuli Ataendelea Na Huu Mwanzo Alioanza Nao, Je, Kuna sababu Ya Kuendelea Kudai Katiba Mpya??
Maana Naona Tu Huku Mtaani Hata Wale Ambao Hawakumpigia Kura Magufuli Wanafurahi Kwa Mwenendo Anaoenda Nao.

Katiba mpya haina mbadala, ni lazima Kwa ajili ya sustainabilty ni lazima kujenga taasisi zitakazoweka misingi endelevu ya falsafa ya JPM ya "HAPA KAZI TU" ili h?ta mrithi Wake aisimamie misingi hiyo kwa mujibu Wa sheria Mama; KATIBA.
 
Ok,sawa!! Lakini Huyu Anafanya Kwa Katiba Hiihii Na Mambo Yanaonekana Kwenda Vzr.
 
Katiba mpya haina mbadala, ni lazima Kwa ajili ya sustainabilty ni lazima kujenga taasisi zitakazoweka misingi endelevu ya falsafa ya JPM ya "HAPA KAZI TU" ili h?ta mrithi Wake aisimamie misingi hiyo kwa mujibu Wa sheria Mama; KATIBA.

Hakuna haja ya Katiba mpya huku ni kupoteza fedha tu, kila kitu ni swala la uchumi, ukitatua tatizo la uchumi kila kitu kinafwata chenyewe tu, hii maana yake nini?

Ni kwamba ili ujenge uchumi mzuri na kuondoa Umaskini ni lazima uwekeze kwenye Elimu, Afya, Malazi, Lishe Bora n.k
Sasa ukiweza kuboresha haya ina maana tutakuwa na jamii ambayo inajielewa na kuweza kufanya maamuzi sahihi kwa manufaa yake na vizazi vyake vijavyo ndiyo, utakuwa jamii ambayo inaelewa kukata miti kuna madhara, kutumia hovyo rasilimali za nchi kutaathiri vizazi vijavyo n.k ndiyo maana utaona kuna nchi nyingi tu Duniani zimeendelea na wala hazina Katiba yenye maneno mazuri na matamu kama ya Kenya au sijui Ghana mfano Uingereza wala haina Katiba iliyoandikwa, Singapore Katiba yao kama yetu tu hata Uchina n.k hivyo cha muhimu kwa sasa ni kujenga Uchumi Imara basi hayo mengine yatajileta yenyewe tu!
 
Watanzania hawana utamaduni wa kufuata katiba ndo maana wengi hawaijui wala kinachoendelea hawakijui
 
Katiba na kufanya kazi ni vitu tofauti!
Hata baada ya kupata katiba mpya tutahitaji wachapa kazi! Sidhani kama Rais anahitaji ushabiki wa kipuuzi kama huu!
 
Mtu asie naakili ndio anaweza kuamin sera ya hapa kazi inatosha kuliko kupata katiba mpya maana wa puuzi uamin maneno kuliko vitendo na bila kutumia akili. Kwani mpaka sasa bado cjaona hio kauli mbiu ya hapa kazi ikifanya kazi zaid ya usanii tu.
 
Dalili Za Sera Ya Hapa Kazi Tu Imeonekana Kuleta Matumaini Kwa Wengi Hata Kwa Wale Waliokuwa Upande Wa Upinzani. Sasa Kama Rais Magufuli Ataendelea Na Huu Mwanzo Alioanza Nao, Je, Kuna sababu Ya Kuendelea Kudai Katiba Mpya??
Maana Naona Tu Huku Mtaani Hata Wale Ambao Hawakumpigia Kura Magufuli Wanafurahi Kwa Mwenendo Anaoenda Nao.

athari ya shule za kata. kwani huyo magufuli wako ataishi milele??
akikwama kutekekeleza ahadi zake kwa kikwazo cha kikatiba?? hebu nenda tena shule unoe ubongo wako bado saaana
 
Dalili Za Sera Ya Hapa Kazi Tu Imeonekana Kuleta Matumaini Kwa Wengi Hata Kwa Wale Waliokuwa Upande Wa Upinzani. Sasa Kama Rais Magufuli Ataendelea Na Huu Mwanzo Alioanza Nao, Je, Kuna sababu Ya Kuendelea Kudai Katiba Mpya??
Maana Naona Tu Huku Mtaani Hata Wale Ambao Hawakumpigia Kura Magufuli Wanafurahi Kwa Mwenendo Anaoenda Nao.

kauli ya hapa kazi ni vitu viwili tofauti na katiba .katiba inatoa muongozo wa kazi au shughuli za kila siku zifanyike kwa taratibu maalumu na kanuni ,kauli ya hapa kazi haina muongozo na kanuni ,hivyo bado KATIBA ni kipaumbele cha kila mmoja wetu ,bila katiba madhubuti hutapata viongozi waadilifu .
 
Kwanza kabisa tujiulize "katiba" ni nini?
Alafu ndio tujibu hilo swali. Laasivyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.
 
Back
Top Bottom