Je, bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi itawasilishwa lini?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Naomba kujua siku ambayo bajeti ya Elimu itasomwa Bungeni. Huo ni wakati wa kufanya tathmini juu ya nia ya serikali kuboresha Elimu hapa nchini. Karibu kwa mchango wasko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…