Hiyo itakuwa sio digirii, digirii siku zote ni heshima... labda uitafutie jina lingineIanzishwe na digrii ya kudharauliwa.. Ili wale wanaofanya unyani kwenye jamii yetu tuwatunuku hiyo shahada ya kudharauliwa.
Hii itasaidia sana kupunguza walanhuzi, walafi wa mali ya umma na wale wote wasio na roho ya uzalendo kwa taifa letu.
kabisa kabisa....wanastahili.
sio wao tu.wengi wanastahili.