The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Kuzidi China?Hii nchi ina sikukuu nyingi zana za kupumzika na bado watu wakeni wavivu kupindukia.
Gentleman,Guys
Hii ni maajabu . sasa hili taifa ni familia ya paka kila mtu and ndevu.
Je hili litangazo kuwajuisha umma kwamba tarehe 25 August 2026 mapumziko ya kitaifa hayo mamlaka wametoa wapi.
Kwa hiyo hata siku diamond akiwa na birthday anaweza kutuamuru tumpuzike aha ha ha a kaaazi kwelikweli.
Wangetangaza tu sikukuu yao mambo mengine waachie serikali iamue..
View attachment 3653847
Wana uchumi mzuri kuliko sisi, acha wapumzike. Sie tunatakiwa kupigika sana ili tuwasogeleeKuzidi China?