Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Amestaafu umri umeenda yuko na 60+Wakuu salama…
Jioni hii umetoka uteuzi wa Balozi Suzana Kaganda kupangiwa nchi ya Zimbabwe kama Balozi wetu huko.
Kabla ya uteuzi huo, Balozi wetu alikuwa Simon Nyakoro Sirro.
Je, Balozi Simon Sirro ametumbuliwa au nae ameomba kupumzika?
KastaafuWakuu salama…