Je, bangi inaweza kufukuza majini?

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
12,846
Reaction score
28,106
Poleni na majukumu wana JF, moja kwa moja kwenye hoja.

Tunajua bangi (marijuana)ni mmea kama mimea mingine ambao unatokana na mbegu inayoitwa (cannabis) lakini ikitumika vibaya inaweza kukupa madhara, hasa ya kisaikolojia

Kumekuwa na imani ya kwamba viumbe visivyoonekana kama majini vinaogopa bangi, na kwamba hata kama hutoivuta ila ukajifukiza moshi wa bangi au kuacha moshi usambae katika chumba chako au nyumba yako utakua salama dhidi ya majini na vibwengo.

Je, ni kweli viumbe hawa wanaogopa bangi?
Je, ni kwanini viumbe hawa huogopa bangi?
Je, bangi ina kitu gani cha kipekee?
Je, ni kwanini ni rahisi kuacha bangi kuliko sigara?



 
Mambo ya imani haya mimi sio mjuzi vileee ila naamini kile kisichokua chema kwa maisha yetu iwe ulevi wa pombe, bangi, uzinzi, wizi na mengine mengi tayari ni uchafu na machukizo mbele za Mungu

Na kila kilicho machukizo mbele za Mungu ni kibaya kwa imani zetu.

Sijawahi sikia shekhe, mchungaji, padre anasema tutumie bangi kufukuza roho wachafu.
 
Imani za kitaa
 
Kuna jini flan humu,ngoja lije lituambie,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…