Je bank za tanzania zinakubli hati za kimila?

Je bank za tanzania zinakubli hati za kimila?

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
6,630
Reaction score
1,945
Wadau naombwa ajuae anijulishe . Kwanza Serikali kupitia sheria ya Village land Act ya mwaka 1999 imeweka wazi kuwa Customary certicates of titles ni sawa na title deed za kawaida.

Je Bank zipi za Tanzania ambazo zimekubaliana na utarataibu huu ili hizo hati za kimila ziweze kutumika kukopeshwa?
 
Zinakubalika boss wewe nenda kakope hiyo nyumba ka unayo hiyo hati ya kimira
 
Perfection ya hati za kilila ni shughuli pevu, sidhani kama kuna benki serious inakubali kubeba risk ya namna hiyo.
 
Back
Top Bottom