Don Calvino
Senior Member
- Mar 3, 2012
- 113
- 29
...mm ni ME,nimekutana na msichana bahati nzuri pakawa ni faragha...(mimi na yeye tu)...tukajikuta tumechezeana takribani 30min...wote hoi! kidume nikashindwa kuvumilia...nikachomeka mambo kavkav!...ofcoz sikukawia...shampeni ikafunguka na kumwagika!...sasa nikaanza kuwaza,je kama yule mtu ana ngoma naweza kupata?
NB: sina kidonda wala mchubuko katika uume wangu!
Kama 24 hrs hazijapita wahi kwa madaktari kuna dawa wanaweza kukusaidia kama wanavyofanya kwa rape victims. Usichelewe!
Kama iliingia bila kupata upinzani inapoingilia, usipate hofu
Hahahahahahaha............... we nomaaaaaaaaaa!!!!!1Ilikua bahati nzuri enh??kapime alafu ndo utajua kama ilikua bahati nzuri au mbaya
kwani virusi wanaingiaje kwenye damu yako?...kama hutaki kuzungumzia michubuko?