Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
mkuu sasa virus wanaingiaje kwenye mwili wa mwenza wake? kama hapajatokea michubuko?
bagah!dhana kuu ya jibu langu ni kutaka watu kuachana na probability!unaposex michubuko probably may occur probably not! sasa ukitumia akili yako vema si vema ukajihatarisha!
kama huyo demu wako ni hiv infected!probably ur infected!nendeni mkapime! n.b-hiv viruses are microscopic so hata michubuko ambayo anapenya sio lazima mpaka wewe uione!kazi unayo!
...mm ni ME,nimekutana na msichana bahati nzuri pakawa ni faragha...(mimi na yeye tu)...tukajikuta tumechezeana takribani 30min...wote hoi! kidume nikashindwa kuvumilia...nikachomeka mambo kavkav!...ofcoz sikukawia...shampeni ikafunguka na kumwagika!...sasa nikaanza kuwaza,je kama yule mtu ana ngoma naweza kupata?
NB: sina kidonda wala mchubuko katika uume wangu!
Heee! Kumbe ni .......?!hauna mwaya, wala usiende hata kupima lol
Nadhani tunahitaji na jukwaa la watoto pia, mods plz let's play fair....
Utoto uko wapi?Nadhani tunahitaji na jukwaa la watoto pia, mods plz let's play fair....