dudunyama
Member
- Jan 25, 2017
- 36
- 37
Habari wadau
Miaka ya hivi karibuni kumekuwepo matumizi ya bati za migongo mipana maarufu kama msouth katika kuezeka nyumba zetu. Kiukweli ni bati ambazo zinamwonekano mzuri ukilinganisha na hizi za migongo midogo ambazo zipo miaka mingi.
Nami nimevutiwa kuzitumia katika ujenzi, lakini
Nimekuwa nikisikia kuwa zina changamoto ya kuvuja katika sehemu ambazo misumali imegongelewa baada ya miaka michache.
Je hili likoje, kama ni kweli ni nini kinapelekea hali hiyo na ni njia zipi zitumike kuepuka hilo.
Zipo bati za miundo mbalimbali lakini naomba tuzungumzie hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app