Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Sep 18, 2009 #1 Kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya kitoweo wakati huu wa maandalizi ya sikukuu ya Idd el Fitri idadi ya mbuzi imeongezeka kwenye mnada wa mifugo hiyo Vingunguti, Dar es Salaam.
Kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya kitoweo wakati huu wa maandalizi ya sikukuu ya Idd el Fitri idadi ya mbuzi imeongezeka kwenye mnada wa mifugo hiyo Vingunguti, Dar es Salaam.
MaxShimba JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 35,771 Reaction score 4,065 Sep 19, 2009 #2 Mkuu wameza bado bei poa tu.
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 456 Sep 19, 2009 #3 MaxShimba said: Mkuu wameza bado bei poa tu. Click to expand... Tena ni mtamu kupita kawaida.