Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
Mashabiki wa Msanii wa muziki wa BongoFleva, @iambenpol wamekuwa na shauku ya kutaka kufahamu iwapo msanii huyo amefunga ndoa na mpenzi wake @anerlisa kutokea nchini Kenya.
Katika mitandao kumekuwepo na picha inawaonyesha wawili hao wakiwa katika pozi linaloweza kutafsiriwa kama maharusi Lakini mpaka sasa hakuna yeyote kati yao aliyeshare picha za harusi wala kuthibitisha swala hilo .
JE, WAWILI HAO WAMEAMUA KUWEKA SIRI KUHUSU NDOA YAO ?