Je Biashara ya pocket option Trading ni halali kwa Tanzania?

Je Biashara ya pocket option Trading ni halali kwa Tanzania?

Introver

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2019
Posts
509
Reaction score
574
Habari zenu wakuu.

Nilikua na mpango wa kuanza biashara ya pocket option trading.
Ila kabla ya kuanza ningependa kujua kama sheria za hapa Tanzania zinaruhusu
 
Back
Top Bottom