Je Biashara ya Simu used inalipa?

Je Biashara ya Simu used inalipa?

Joined
Nov 15, 2023
Posts
86
Reaction score
122
Naomba Kupata Experience Ninatakiwa Kuwa na Shilingi Ngapi Kuuanzisha Biashara ya Simu Used From another Country?

Faida Yake Ipoje?

Na Changamoto Zake?

Ahsante Sana!
 
Ina faida kama unapata kwa bei rahisi.
Or else nakuongezea, nunua simu used zilizoharibika, fanya replacements uza bei ya sokoni.
Return zipo na kwenda rumande jiandae. Asante
 
Hakuna biashara isiyolipa.

Na hakuna biashara inayomlipa kila mtu
 
HAkuna biashara isiyolipa mkuu ni wewe kufanya biashara yako ifane na kuvuma
 
Hiyo biashara inabidi uwe na moyo wa mapambano kama Lissu, anaposema "no reforms no elections" wewe unasema "no refunds no guarantee"🐼
 
Ngoja waje ila tu jua mbinu ya kuziepuka simu za wizi
 
Back
Top Bottom