Haruni Kassian Kadege
Member
- Nov 15, 2023
- 86
- 122
Hivi sisi Watanzania hatuna mawazo ya biashara beyond ya uchuuzi? asilimia 97 ya biashara zetu ni za kichuuzi tupuNaomba Kupata Experience Ninatakiwa Kuwa na Shilingi Ngapi Kuuanzisha Biashara ya Simu Used From another Country?
Faida Yake Ipoje?
Na Changamoto Zake?
Ahsante Sana!
akitengeneza kamba za katani utanunua?Hivi sisi Watanzania hatuna mawazo ya biashara beyond ya uchuuzi? asilimia 97 ya biashara zetu ni za kichuuzi tupu
Njoo china plaza tuwaibie wakujaNaomba Kupata Experience Ninatakiwa Kuwa na Shilingi Ngapi Kuuanzisha Biashara ya Simu Used From another Country?
Faida Yake Ipoje?
Na Changamoto Zake?
Ahsante Sana!
Leta mawazo maana ,yapo ila hatutayatilia mkazoHivi sisi Watanzania hatuna mawazo ya biashara beyond ya uchuuzi? asilimia 97 ya biashara zetu ni za kichuuzi tupu