Je bikra yaweza toka yenyewe?

maranatha

Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
58
Reaction score
11
jirani yangu ana mtoto wa miaka miwili wakati anamuogesha mtoto alilia kwa maumivu na alipomcheki aligundua kuna kauwazi ktk sehemu zake za siri haelewi nini kimetokea kwa mwanawe.yaweza kuwa ni ajali au kuna kitu kafanyiwa?
 
Haiwezekani, lazima kutakuwa na hard object been thru her thing to break the hymen
 
haiwezekani,kuna kitu........hatakama bikira uweza toka yenyewe ila sio kwa kipimo cha kuona uwazi namna hiyo,bikira ni kitu kidogo sana ambacho ikitoka kwa kawaida( bila kuingiliwa).....haiwezi toa hiyo hali .nashaur akamwone DR,kuna kitu
 
Mhh! kwani hakuwa naye karibu kwa muda gani? Inabidi ampeleke hosp aisee akachekiwe.
 
Mtoa mada ameuliza kijanja kwa kutudanganya na stori. Anataka2 kujua kama bikra inaweza kutoka yenyewe coz m2wake kamdanganya kuwa ilitoka yenyewe.
 
mhu! itakuwaje mtoto aliye kwa mauimivu yeye akimbilie kuangalia huko? alijuaje kuwa maumivu uyanatokea huko? huo uwazi aliuonaje, alianza kumpekuwa mtoto mashavu yake? je, alitumia gloves? anamakucha kiasi gani? labda makucha yake ndo yamemumiza mwanae!!! kuona ukeni lazima upande katika gynecological bed. je, anahicho kitanda? na mtoto anamiguu kiasi gani kuweka ple juu il mzazi amchungulie!! we mzazi usimwaribu mwano.
 

umeongea mambo ya msingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…