Wanalipa ila Kuna vipengele pia wanaangalia,kama vile uzembe ulikua wa dereva,malipo yatakua tofauti ,wanaweza wakalipa bill kwa majeruhi na gari na sio gharama za mazishi
Gari Kama ilikua mbovu ,mwenye gari atalipa ,na wao wanaweza lipa ila sio gharama kubwa,Kisha mwenye gari watalipana kulingana na policy zao.gharama watatoa endapo gari halikua na tatizo Waka dereva hakua na tatizo
Kama ile ajali ya ndege ya bukoba
Ndio maana ela yao inachelewaga kutoka,kwa kua wanachunguza vitu vingi.vinginevyo kampuni inaweza kufa ingawa ni ngumu kufa