Je, Bima ya afya inakubali kipimo cha CT Scan?

Je, Bima ya afya inakubali kipimo cha CT Scan?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Wanabodi naomba kufahamu Bima ya Afya inalipia gharama za CT Scan? nina mzee wangu anaugua ila ana bima sasa nilitaka kupata kufahamu kama bima ina cover. Je, kwa Dar es salaam ni hospitali gani?
 
NHIF inakubali ila inategemea na hosp
 
Wanabodi naomba kufahamu Bima ya Afya inalipia gharama za CT Scan? nina mzee wangu anaugua ila ana bima sasa nilitaka kupata kufahamu kama bima ina cover. Je kwa Dar es salaam ni hospitali gani?
NHIF awamu ya 4 ilikua bomba sana ila kwa sasa imekua hovyo hata typhoid eti hawapimi juzi nimelipa sh 10000 kupima widal test Ranibinsia tegeta kisa nhif wamekataa.
 
Back
Top Bottom