Je, Binadamu Hana Shukrani Kuliko Hata Tumbo?

Una maoni mazuri.
Nitayafanyia kazi
Asante
 
Kutunishiana misuli sana haijakaa poaโœ…๏ธ
Wakati fulani binadamu tunajisahau sana tunakuwa na mwbembwe nyingi kwasababu ya kuwa katika afya njema.

Ukitembelea wagonjwa hospital ukaona namna watu wanaosumbuliwa na maradhi tofauti tofauti wanavyohangaika kunayo namna unawaza juu ya maisha ya mwanadamu unaona haina maana kbs kuishi kwa visasi, chuki, kinyongo, majivuno , dharau, jeuri, kiburi, majigambo, tambo na mbwembwe.

Dunia tunapita
 
Wakati fulani binadamu tunajisahau sana tunakuwa na mwbembwe nyingi kwasababu ya kuwa katika afya njema.
Afya nayo inalevya sana
Ukiwaza yote ni ubatili

Dunia tunapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ