Je, Bondia wa Tanzania wapo mbele sana Afrika ya Mashiriki?

Je, Bondia wa Tanzania wapo mbele sana Afrika ya Mashiriki?

drrwgrant

New Member
Joined
May 26, 2014
Posts
3
Reaction score
1
Mdogo wangu hapa UK mshabiki sana wa mchezo huu. Kaniuliza juuzi inakuaje bondia wengi kutoka Tanzania hupata mafanyikio siku hizi ngazi ya kimataifa, wakiwaachia kwenye mataa kabisa wenzao Wakenya, Wauganda n.k.
Je, ni kweli? Na kama ndiyo, sababu yake nini hasa? Nitashukuru nikiyapata machache kumwelezea mdogo.
 
Mwambie huku kwetu tunapo amka tunakunywa uji/masiwa na viazi, mihogo, mbute, michembe, makopa na matobholwa.
Kisha mchana tunakula mlenda, nsansa, nswalu, uyoga, kisamvu na ugali wa dona.
Inapo wadia jioni tunakunywa mbege, togwa, wanzuki na ndume....😋😋
 
Mdogo wangu hapa UK mshabiki sana wa mchezo huu. Kaniuliza juuzi inakuaje bondia wengi kutoka Tanzania hupata mafanyikio siku hizi ngazi ya kimataifa, wakiwaachia kwenye mataa kabisa wenzao Wakenya, Wauganda n.k.
Je, ni kweli? Na kama ndiyo, sababu yake nini hasa? Nitashukuru nikiyapata machache kumwelezea mdogo.

nafikiri imetokea tu pengine kiasili walau tunaunafuu kwenye ngumi ni kama vile kwenye riadha wakenya ndo wanaotamba huko dunian wakiwazid nchi zote za eqst africa

ila tukikinganisha mafanikio wakenya wana memgi kwenye riadha kuliko sie kwenye ngumi..
 
Back
Top Bottom