Mdogo wangu hapa UK mshabiki sana wa mchezo huu. Kaniuliza juuzi inakuaje bondia wengi kutoka Tanzania hupata mafanyikio siku hizi ngazi ya kimataifa, wakiwaachia kwenye mataa kabisa wenzao Wakenya, Wauganda n.k.
Je, ni kweli? Na kama ndiyo, sababu yake nini hasa? Nitashukuru nikiyapata machache kumwelezea mdogo.
Karimu mandonga🤣🤣Angeleta majina kabisa zaid ya mwakinyo hakuna mwingne