Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Taaluma Yako Kwanza, usichoshe watu bure kuelezea Mtu wa HGL..Hamjambo wanafamilia wa jf
Ningependa kujifunza jinsi breki za gesi zinavofanyakazi
Sambamba na hili ningependa nifahamishwe jinsi ya ufanyaji kazi wa "Stop engine" au "stopper" na kwanini zinatumika zaidi kwenye magari makubwa
Pia ule mlio kwenye gari zinazotumia breki za gesi hasa wakati wakusimama ambao ni kama gasi inaachiwa yaani "zchaaaaa'' unatokana na nini?
Karibu unielimishe
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
daah umenikumbusha basi moja (Eicher) kitambo ya Ubungo_Mbagala"zchaaaaa''
[emoji2]daah umenikumbusha basi moja (Eicher) kitambo ya Ubungo_Mbagala
ilikua na huu mlio ikitia breki, zchaaa, inaacha alaf tena zchaaa, inaacha alaf tena zchaaa, alaf tena zchaaa, mpaka inasimama, alaf unasikia ile ndefu zchaaaaaa chaf, upepo unatoka, mwendo huohuo mpaka mwisho
nakumbuka nilifika Mbagala, nikarudi nayo Ubungo kisha kurudi tena Mbagala
Raha Sana
Badala ya kujikita katika kutaka kujua taaluma za watu ungejitahidi uilezee tu kwa namna rahisi ungeelimisha wengi.Taaluma Yako Kwanza, usichoshe watu bure kuelezea Mtu wa HGL..
Go and read about operations of pneumatic valves and cylinders.
This is pure Engineering, Electromechanical
Profesa mmoja wakati nipo chuo ali wahi kusema ujuaji ukizidi sana ina kua haina tofaut na mtu mjinga, Sijui ume nielewa .Taaluma Yako Kwanza, usichoshe watu bure kuelezea Mtu wa HGL..
Go and read about operations of pneumatic valves and cylinders.
This is pure Engineering, Electromechanical
Kujitia ujuaji na hujaelezea chochote ni upimbi. Kama unajua sana tuambie ni gari gani umetengeneza la kwako.Taaluma Yako Kwanza, usichoshe watu bure kuelezea Mtu wa HGL..
Go and read about operations of pneumatic valves and cylinders.
This is pure Engineering, Electromechanical
wasomi wa kibongo mnalaana sanaTaaluma Yako Kwanza, usichoshe watu bure kuelezea Mtu wa HGL..
Go and read about operations of pneumatic valves and cylinders.
This is pure Engineering, Electromechanical
Inaitwa Pneumatic/Air brake system.Hamjambo wanafamilia wa jf
Ningependa kujifunza jinsi breki za gesi zinavofanyakazi
Sambamba na hili ningependa nifahamishwe jinsi ya ufanyaji kazi wa "Stop engine" au "stopper" na kwanini zinatumika zaidi kwenye magari makubwa
Pia ule mlio kwenye gari zinazotumia breki za gesi hasa wakati wakusimama ambao ni kama gasi inaachiwa yaani "zchaaaaa'' unatokana na nini?
Karibu unielimishe
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Inawezekana Marco Chalii alichukua hiyo sound na kujiita "zchaaa"zchaaaaa
Mlikimbia Physics ili mje. Msumbue watu wengine.Kujitia ujuaji na hujaelezea chochote ni upimbi. Kama unajua sana tuambie ni gari gani umetengeneza la kwako.
Kwahiyo hapo umesaidia nini au kujitutumua?Taaluma Yako Kwanza, usichoshe watu bure kuelezea Mtu wa HGL..
Go and read about operations of pneumatic valves and cylinders.
This is pure Engineering, Electromechanical
[emoji1431]Inaitwa Pneumatic/Air brake system.
Haina tofauti na Brake system za Hydraulic ambazo ndio zipo kwenye gari ndogo nyingi.
Kilichoongezeka hapo sanasana ni Compressor na mitungi ya kuhifadhia hewa.
Unapikanyaga brake ile hewa ikishatumika inatoka ndio ule mlio unaousikia. Kwa sababu kuna compressor itajazwa nyingine na maisha yataendelea.
Kuhusu Engine Brake/Stop Engine kama ulivyoita.
Unapoapply engine brake kuna namna Intake na Exhaust valves za engine zinafunga hivyo drive train kuanzia kwenye gearbox mpaka kwenye magurudumu inakuwa inafanya kazi against engine. Mind you, kuzungusha engine ikiwa imeclose hizo valves ni Shughuli nzito.
Hiyo ni breki saidizi, kazi yake ni kupunguza mwendo tu na siyo kusimamisha chombo mkuu!![emoji1431]
Kwakawaida engines zina funguaga intake valves na exhaust valves kwakubadilishana, kama nimekupata vizuri mkuu ni kwamba kazi ya engine brake ni kuzifunga zote (kupunguza ufanisi wa engine) hivyo kupunguza kasi ya mzunguko wake
Vipi zoezi lakuzifunga valves zote mbili linaweza kupunguza mwendo kiasi cha kusimamisha kabisa gari au nikupunguza mwendo pekee?
Na je, haiathiri engine mkuu?
Nawasilisha
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa. Kama mtu hawezi kutoa msaada/jibu bora akae kimya.....Profesa mmoja wakati nipo chuo ali wahi kusema ujuaji ukizidi sana ina kua haina tofaut na mtu mjinga, Sijui ume nielewa .
Nitakupa link yake Ni video za zaman Sana around 50's -70's utaelewa kila kituHamjambo wanafamilia wa jf
Ningependa kujifunza jinsi breki za gesi zinavofanyakazi
Sambamba na hili ningependa nifahamishwe jinsi ya ufanyaji kazi wa "Stop engine" au "stopper" na kwanini zinatumika zaidi kwenye magari makubwa
Pia ule mlio kwenye gari zinazotumia breki za gesi hasa wakati wakusimama ambao ni kama gasi inaachiwa yaani "zchaaaaa'' unatokana na nini?
Karibu unielimishe
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu,, tunasubiriNitakupa link yake Ni video za zaman Sana around 50's -70's utaelewa kila kitu
Nashukuru kwa elimu nduguHiyo ni breki saidizi, kazi yake ni kupunguza mwendo tu na siyo kusimamisha chombo mkuu!!
Haina madhara kwa injini kama utaitumia kwa namna ilivyoelekezwa..