Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Sana!Broiler wanaitumiaje?Sijawahi fuga broiler hata hawa Sasso ndiyo Mara yangu ya kwanzaInafaa sana mkuu, utumia kulingana na matumizi yake sahihi kama broiler.
Haiwafai kaka, grower ni chakula cha kukuzia. kinawafaa kuku wakubwa kuanzia wiki 3 kwa (broilers) hadi 6. kwa sababu nutriotional components na ukubwa wa pellet unaleta maendeleo na ukuaji unaotakiwa kwa hao kuku wakubwa. vifaranga wanahitaji diet yao kwa sababu ya udogo wao wa kuingiza chakula mdomoni na mahitaji muhimu kwa ajili ya ukuaji wao. kwa hiyo hatuwezi kuwapa kuku wetu kila chakula kwa sbb kipo. kwa sbb chakula na muda wa ufugaji wa kuku ndio faida yenyewe katika ufugaji.Wadau hivi grower ya Broiler inawafaa hata vifaranga wa Sasso?Msaada jamani mnitoe ushamba