Landson Tz
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 304
- 238
Wanajamvi,
Ninawasiwasi juu ya Bunge la katiba, kwanza kwasasa bunge la Jamuhuri na baraza la wawakilishi ni makundi kati ya makundi mengine katika jamii na mkataba wao kwa wananchi ni kuwawakilisha.
Sasa majukumu haya mazito kwanini wanapewa bure na Rais na si wananchi kwa kisingizio cha katiba iliyopo ambayo ndiyo chanzo kuandika upya katiba?
Bila kujali gharama za kuwachagua, kwa maoni yangu binafsi wajumbe wa bunge la katiba wangechaguliwa moja kwa moja.