Kabla ya kulalama kuwa unadhauliwa, jua unejidharau kwanza.Unaongea utopolo gani wewe? ππ
View: https://x.com/bbcswahili/status/1920499542262173833?t=WsMLtm7CYYk6W1ShIfsfGQ&s=19
Bunge letu Lina deal na vibaraka na mabwana zao.
Vibaraka lazima washughulikiwe ipasavyoKabla ya kulalama kuwa unadhauliwa, jua unejidharau kwanza.
Kuua na kutesa wakosoaji wa siasa duni ni uporipori
lawama oyote ya bunge juu ya orodha akae MaguKitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?
Mhimili mfu?
Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?
Bunge la kusifu na kuabudu?
Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?
Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.
Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .
Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?
Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
Ni more than useless. Nadhani ni obsolete and toxic.Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?
Mhimili mfu?
Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?
Bunge la kusifu na kuabudu?
Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?
Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.
Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .
Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?
Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
Ni useless ndio, juzi walikua wanjadili Kariakoo derby WTF?Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?
Mhimili mfu?
Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?
Bunge la kusifu na kuabudu?
Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?
Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.
Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .
Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?
Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
NI KWELI KWA 100%Katika mihili yote 3, ni Bunge pekee yake ndio kuna wakati huaga halipo hai. Miezi 2 kutoka sasa tutakua hatuna bunge, litakua limevunjwa, lakini there will be no way Ikulu na mahakama vikakosa mtu; tafsiri yake ni kwamba, bunge lipo pale kufata katiba tu lakini hata likivunjwa hakuna effect yeyote kwa nchi, yaani liwepo au lisiwepo bado ni sawa tu
Kwa kweli inasikitisha sana... Naona kama wanataka kuvuka mpaka hawa wabunge....Wanaumwa mavi hao wamejisahau sasa subiri statement ya jesh
karibuKitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?
Kumbe ulishamwaga upupu wote.karibu
P
- Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi?
- Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali?
- Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga?
- Bunge letu, Bunge Kibri, Jeuri? Linawezaje kutunga tena Sheria batili? Limeamriwa kuondoa ubatili huo, linapata wapi jeuri ya kuidharau Mahakama?
- Baadhi ya Wabunge ni Stupid!, Tanzania haina Demokrasia!, Bunge ni Rubber Stamp!- TBC, Watch Now!
- Watanzania tutaendelea kusubiri mpaka lini Bunge likitunga Sheria batili na kuuchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu? Tufanye nini?
- Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants
- Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?
- Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

Hivi unajua kwamba mh. Dr Tulia ni Rais wa mabunge ya Dunia? Kwa nini bunge la ulaya ilete maazimio Yao ktk bunge la JMT? Kwa sababu siasa yetu ya ujamaa na kujitegemea. Tujisahihishe na azimio la Arusha.Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?
Mhimili mfu?
Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?
Bunge la kusifu na kuabudu?
Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?
Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.
Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .
Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?
Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?
Mhimili mfu?
Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?
Bunge la kusifu na kuabudu?
Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?
Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.
Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .
Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?
Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
Unamaanisha wale wanaouza raslimali zetu kwa waarabu ?Vibaraka lazima washughulikiwe ipasavyo
Walioko jela hawatapata nafasi ya KugeukaUnamaanisha wale wanaouza raslimali zetu kwa waarabu ?
Una mwamini Mungu? Unajua Mungu ni haki? Una amini katika haki?Walioko jela hawatapata nafasi ya Kugeuka
Ndio,Haki gani Kwa mhaini?Una mwamini Mungu? Unajua Mungu ni haki? Una amini katika haki?