Wabunge wa Chadema hawana hoja wao ni matusi tu hakuna haja ya kuwasikiliza
Hebu fumba bakuli lako ww msukule mkuu
Nami nmejiuliza sana hiliTutaendelea kulalamika hivi mpaka lini?
Tunakoelekea sio kuzuri kabisa.
Kizazi chetu kitatulaani kwa uzombi wetu.
Vijana wa Ufipa ndio wanaongoza kwa kuangalia TBC1, Channel Ten na kusoma magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Habari Leo. Kila kinachoandikwa au kusemwa na hivyo vyombo, haraka haraka wanakuja na nyuzi humu!Hivi kuna watu bado wanafuatilia bunge?
Hebu msikilize huyuLeo nilikuwa naangalia bunge live kitu cha ajabu ambacho nimekiona ni kuwa kila mbunge wa chadema akitajwa kuongea matangazo yanazimwa
But wabunge wa ccm wakiongea matangazo yanakuwa hayana shida
Sasa nakuwa najiuliza point inakuwa ni nn sasa, au hawataki wananchi wasikie mawazo mbadala?
Naona kama hili jambo sio sawa ni jambo la Aibu
Wabunge wa Chadema hawana hoja wao ni matusi tu hakuna haja ya kuwasikiliza
Vijana wa Ufipa ndio wanaongoza kwa kuangalia TBC1, Channel Ten na kusoma magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Habari Leo. Kila kinachoandikwa au kusemwa na hivyo vyombo, haraka haraka wanakuja na nyuzi humu!
Kwenye kampeni itakuaje?Wabunge wa Chadema hawana hoja wao ni matusi tu hakuna haja ya kuwasikiliza