Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana mkuu Mungu akubariki kwa jibu lako murua, kwa maelezo yako ina maana kuwa gari likiwa na alama hii hilo ni 4WD ila 4WD inafanya kazi pale tu button inapobonyezwa, i.e ina maana gari hili ni part time 4WD??Hiyo gari ni 4WD saloon au Front wheel drive Hiyo button ina tumika Ku engage 4 wheel drive kwa gari ndogo ambazo sio full time 4WD!
Hamna kitu kama hiyo.. Just kila kitu ipo monted sawa for 2WD na 4WDAhsante sana mkuu Mungu akubariki kwa jibu lako murua, kwa maelezo yako ina maana kuwa gari likiwa na alama hii hilo ni 4WD ila 4WD inafanya kazi pale tu button inapobonyezwa, i.e ina maana gari hili ni part time 4WD??
Je ni kweli kuwa gari (na hapa naongelea Toyota IPSUM cc 2,360) ambayo ina button hiyo na kwa hiyo ni 4WD huwa injini yake inawahi kuchoka kuliko gari ambayo ni 2WD??
Mkuu sijakuelewa hebu tumia lugha rahisi basi npate kukuelewa!!!Hamna kitu kama hiyo.. Just kila kitu ipo monted sawa for 2WD na 4WD
Wear n tear ya gari. Hiyo ipo siku zote sababu ya matumizi.. Just fanya service zote kwa wakati na urekebishe matatizo madogo madogo kwa wakati gari litadumu.. 4WD Haina uhusiano wowote na kuchakaa kwa gariMkuu sijakuelewa hebu tumia lugha rahisi basi npate kukuelewa!!!
Ahsante sana mkuu ubarikiwe!Wear n tear ya gari. Hiyo ipo siku zote sababu ya matumizi.. Just fanya service zote kwa wakati na urekebishe matatizo madogo madogo kwa wakati gari litadumu.. 4WD Haina uhusiano wowote na kuchakaa kwa gari