Je! Carina TI cc 1754 na cc 1453 ipi ni bora?

Je! Carina TI cc 1754 na cc 1453 ipi ni bora?

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Kati ya carina ti yenye ingini ya cc 1754 na ile yenye injini ya cc 1454 ipi itamfaa mtu mwenye kipato cha chini. Ukizingatia i) ulaji wa mafuta. ii) uimara wa injini.
Matumizi ya kawaida hapa mjini na kama Mara moja au mbili kwa mwaka kwenda Bukoba toka Dar.
 
Carina yenye cc 1800(soma 1750+) huitwa SI,na ile ya cc1500(soma1460±) huitwa TI. Kwa fuel efficiency,TI ni bora,lakini kwa safari,SI iko vizuri ZAIDI kuizidi TI. Tofauti zote hizo katika magari hayo ni ndogo sana,kwa haraka haraka,huwezi kuona utofauti wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zote zinafanana huwezi kujua ipi inakula sana mafuta ila kwa ushauri wangu chukua T.I ni gari ambalo wabongo wengi tunaendesha
 
Back
Top Bottom